1. Wezesha usasishaji wa kiotomatiki wa programu

Mojawapo ya mambo muhimu zaidi ya kuweka rilei yako salama ni kusakinisha masasisho ya usalama kwa wakati unaofaa na kiotomatiki ili usiweze kusahau kuihusu. Fuata maelekezo ili kuwezesha usasishaji wa programu ya kiotomatiki kwenye mfumo wako wa uendeshaji.

2. Sanidi hazina ya mradi wa Tor

Kusanidi hazina ya kifurushi cha mradi wa Tor kwa Debian/Ubuntu kumeandikwa here. Tafadhali fuata maagizo hayo kabla ya kuendelea.

3. Usakinishaji wa kifurushi

Hakikisha unasasisha hifadhidata ya vifurushi kabla ya kusakinisha kifurushi kuliko kuitaapt kukisakinisha:

# apt update
# apt install tor

4. Faili ya Usanidi

Weka faili yako ya usanidi /etc/tor/torrc katika mahali pake

Jina la utani  myNiceRelay # Badilisha "myNiceRelay" iwe kitu unachokipenda
ContactInfo your@e-mail # Andika barua pepe yako ukiwa unafahamu kuwa itachapishwa
ORPort   443     # Unaweza kutumia bandari tofauti ikiwa utataka
ExitRelay  0
SocksPort  0

5. Anzisha tena huduma

Anzisha tena tor daemon ili mabadiliko ya usanidi wako itekelezwe:

# systemctl restart tor@default

6. Maelezo ya mwisho

Ikiwa unapata shida kusanidi rilei yako tazama sehemu ya msaada wetu. Ikiwa rilei yako inaendeshwa sasa angalia maelezo ya baada ya kusakinisha.