Kuendesha proksi ya Snowflake kama add on ya kivinjari ni njia bora ya chini ya kuchangia kipimo data ikiwa huna ufikiaji wa seva iliyounganishwa kila wakati. There are very few requirements to running a browser-based proxy:

  1. Tumia Firefox au Chromium/Chrome kama kivinjari chako
  2. Wezesha WebRTC

1. Sakinisha addon ya Snowflake kwa kivinjari chako

Ikiwa unaendesha Firefox, unaweza kusakinisha Firefox addon yetu. Watumiaji wa Chrome wanaweza kusakinisha addon yetu kutoka duka la tovuti la Google.

Mara tu ikiwa imesakinishwa, unaweza kugeuza swichi ya Enabled ili kuizima na kuiwasha. Ni rahisi zaidi kuiacha ikiendeshwa wakati unavinjari na haipaswi kuingilia matumizi yako ya kawaida ya kuvinjari.

2. Fuatilia hali na utumizi wa Snowflake yako

The Snowflake addon will inform you about how many people you have helped in the last 24 hours. Pia itaonyesha ujumbe wa hitilafu ikiwa Snowflake haikuweza kuunganisha kwa wateja au daraja la Snowflake.