Mwongozo huu utakusaidia kusanidi proksi ya Snowflake ili kusaidia watumiaji waliodhibitiwa kuunganisha kwenye mtandao wa Tor. Mahitaji ni:

  1. Muunganisho wa mtandao

Ikiwa haukidhi masharti ya kuendesha rilei ya Tor au kiungo cha obfs4, kuendesha proksi ya Snowflake ni njia nzuri ya kuchangia kwa kipimo chako cha data ili kuwasaidia watumiaji kukwepa udhibiti.

Kuna chaguo chache tofauti za kuendesha proksi ya Snowflake.

Proksi ya Snowflake inayojitegemea

Jinsi ya kuendesha proksi inayojitegemea ya Snowflake

Kivinjari cha proksi ya Snowflake

Jinsi ya kuendesha proksi ya Snowflake katika kivinjari chako