Relay mbovu ni nini?

Relay mbovu ni ile ambayo haifanyi kazi vizuri au inaharibu muunganiko na watumiaji wetu. Hii inaweza kuwa kupitia programu hatarishi au isiyo sanidiwa vizuri. Je ulipata uwasilishaji iliosanidiwa kimakosa, programu hatarishi, au relay yenye mashaka wakati unatumia Tor? Please let us know by sending an email to bad-relays AT lists DOT torproject DOT org. Relay nyingi mbovu zimenaswa tunashukuru kwa jamii yetu kuendelea kukua, hivyo shukrani nyingi kwa wote waliotusaidia na kutuangalizia. Maelezo ya relay mbovu pamoja na vigezo vya kuikataa vinapatikana katika [ Network Health wiki.

Pia, kama relay yako ikiwa imeibiwa au imepotea, tafadhali toa taarifa, ili tuweze kuizuia iwapo kuna yeyote aliyeichukua atairudisha mtandaoni.

Je, ninawezaje kutoa taarifa juu ya relay mbovu?

Kama umeshakutana na relay mbovu tafadhari tujulishe na andika katika bad-relays AT lists DOT torproject DOT org.

If you are using Tor Browser you can check which exit relay you got at any time by visiting the circuit icon on the URL bar. Also, there is more information about specific relays available on our metrics website via the relay-search portal. Please include the following in your report:

  1. Anwani ya IP ya relay au fingerprint. Fingerprint ni alama-arobaini katika muundo wa hex kama 203933ED4E55EF8A3C3518427D1A1ED6A4CC285E.
  2. Ni tabia zipi unaziona?
  3. Nyongeza yeyote ya taarifa tutazihitaji kuzalisha suala hilo.

Kama, unahitaji msaada kuhusu chochote kinachohusiana na Tor, tafadhari tumia Jukwaa la Tor inapowezekana.

Nini kinatokea kwenye relay mbovu?

Baada ya kutolea taarifa relay na tukathibitisha tutajaribu kuwasiliana na muendeshaji wa relay, Mara chache tunaweza kutatua tatizo hili na kama tukishindwa (au relay ikiwa na mapungufu ya maelezo ya mawasiliano) tutaibainisha na kuzuia kuendelea kutumika.

We have two types of flags we can apply:

  • BadExit - Never use the relay as an exit relay (for relays that e.g. show broken DNS resolver configurations)
  • MiddleOnly - Only use the relay in a middle position without any relevant flag, like the HSDir flag

Additionally, we can drop relays from the consensus entirely. Which of those options we deploy depends on the severity of the issue, and if the relay can still be safely used in certain situations.

My relay was given the BadExit or MiddleOnly flag. What's up?

If your relay has been flagged as a BadExit or got the MiddleOnly flag then please let us know (see above for contact info) so we can work together to fix the underlying issue.

Je, unatafuta kwa bidii relays mbaya?

Yes. For our automated issue detection see e.g. exitmap.