Tumejitolea muundo uliowazi ili uweze kuona utafiti wa watumiaji ambao tumefanya katika kimataifa-kusini. Ikiwa ungependa kufanya utafiti wa watumiaji nasi, tafadhali wasiliana.

Mradi Mbinu Maeneo Tarehe Kuripoti
Changamoto na mahitaji ya mashirika ya haki ya kidijitali Mahojiano Mtandaoni Q122, Q222 View on Gitlab · Download PDF
Uchunguzi wa Muundo wa Jukwaa Uchunguzi (.md) Mtandaoni Q221, Q321 Tazama kwenye Gitlab · Pakua PDF
Uchunguzi wa watumiaji wa Kivinjari cha Tor Uchunguzi Mtandaoni Q121, Q221 Tazama kwenye Gitlab · Pakua PDF
Uchunguzi wa mtumiaji wa Snowflake Uchunguzi Mtandaoni Q121, Q221 Tazama kwenye Gitlab · Pakua PDF
Ugunduzi: Pata Viungo Ugunduzi wa Mtumiaji (.md) Mtandaoni Q420, Q121 .pdf
Demografia ya watumiaji wa Tor Uchunguzi (.md) Mtandaoni 2020 n/a
Utafiti wa mtumiaji: Mipangilio ya Usalama Utathmini wa utumiaji (.pdf) Maeneo mengi 2019 haitumiki
Kizindua cha Tor Utathmini wa utumiaji (.pdf) Mumbai(IN) Q118 .pdf
Kiashiria cha usalama cha Onion Utathmini wa utumiaji (.pdf) Mumbai(IN), Kampala(UG), Valencia(ES), Mombasa(KE) Q118, Q218 .pdf
Onyesho la sakiti ya TB (.pdf) Kampala(UG), Nairobi(KE), Mombasa(KE) Q118, Q218 .pdf
Kivinjari cha Tor kwa Kompyuta ya mezani Ugunduzi wa mahitaji ya mtumiaji (.pdf) Bogotá(CL), Cali(CL), Valle del Cauca(CL), Kampala(UG), Hoima(UG), Nairobi(KE) 2018 .pdf
Kivinjari cha Tor ya Android Ugunduzi wa mahitaji ya mtumiaji (.pdf) Bogotá(CL), Cali(CL), Valle del Cauca(CL), Kampala(UG), Hoima(UG), Nairobi(KE) 2018 .pdf

Utafiti wa Jumuiya