Kamilisha orodha hii kabla ya kuendesha mafunzo ya Tor.

Andaa

Itifaki ya Usalama

  • Nimewasiliana na shirika langu tayari na kuwaambia kuwa ninaandaa mafunzo haya

  • Nilishiriki mtu ambaye shirika langu linapaswa kumpigia simu ikiwa jambo fulani litatokea

Kuhusu ukumbi

  • Ukumbi una meza na viti vya kutosha kila mtu

  • Ukumbi una muunganisho wa mtandao na ninajua nenosiri la wifi

  • Kuna projekta au TV inayopatikana na inafanya kazi na kompyuta yangu

Wasikilizaji & Mawasiliano

  • Nilishiriki anwani ya mahali, tarehe na wakati kwa washirika wote

  • Niliwauliza washirika wote walete vifaa vinavyohitajika kwenye mafunzo

  • Nimethibitisha washiriki wa mafunzo

Wakati wa mafunzo

Kabla ya kuanzisha mafunzo hakikisha kuwa:

  • Fanya makubaliano kuhusu kupiga na kutopiga picha

  • Wasilisha ajenda

  • Jitambulishe na uulize watu wajitambulishe

  • "Maswali yote yanakaribishwa"

Baada ya Mafunzo

  • Kusanya maoni ya washiriki

  • Wacha barua pepe kwa mawassiliano zaidi na usaidizi

  • Fanya utathmini kuhusu mafunzo

  • Ripoti kwa jamii na timu ya UX