Ukurasa huu unalenga kuorodhesha uzoefu wa jumuiya na Tor na Watoa Huduma mbalimbali za Mtandao (ISPs) duniani kote. Baadhi ya watoa huduma za mtandao ni rafiki wa Tor na wengine sio.Baadhi wana uwezo na ufahamu kuhusu Tor au kuhusu usalama kwa ujumla. Tujulishe!
Hakikisha unatoa taarifa muhimu kama vile ni kiasi gani cha data ulichosukuma, mpango huo ulioufikiria ulikuwa nafuu au wa gharama, kwa jinsi gani ulifanya bidii uliwafanya waelewe kinachoendelea, muda gani seva yako imetembea, na kama ulipendekeza kwa wengine, pia ikijumuisha tarehe.
Kwa kuwa yasiyo ya kutoka hazivutii malalamiko inapaswa kuwa sawa kueziendesha bila kuwasiliana na mwenyeji kwanza. Hakikisha unaelewa sera yao kuhusu kipimo data hasa kwenye mikataba ya "isiyo na mipaka" (matumizi ya haki). Kwa rilei xa kutoka unapaswa kwanza kusoma Mwongozo wa Tor ya kutoka.
Kwa utofauti wa mtandao na kutokujulikana zaidi, unapaswa kuepuka watoa huduma na nchi ambazo tayari huvutia uwezo wa Tor. Metrics ni kifaa mahiri zinazo kuruhusu kupanga uwezekano kutokana na nchi na AS (autonomous systems), hivyo ni rahisi zaidi kutambua mtandao unaotaka kuuepuka.
Jaribu kuepuka wenyeji wafuatao:
- Frantech / Ponynet / BuyVM (AS53667)
- OVH SAS / OVHcloud (AS16276)
- Online S.A.S. / Scaleway (AS12876)
- Hetzner Online GmbH (AS24940)
- IONOS SE (AS8560)
- netcup GmbH (AS197540)
- Psychz Networks (AS40676)
- 1337 Services GmbH / RDP.sh (AS210558)
Wenyeji hawa tayari wana nodi nyingi za Tor zinazopangishwa hapo.
Angalia kila wakati TOS na AUP kabla ya kuendesha rilei. Yana uwezekano wa kubadilika na baadhi ya maelezo haya yanaweza kuwa yamepitwa na wakati.
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
VPS.BG |
AS34224 |
Yes |
Yes |
Yes |
01/11/2016 |
0.07% |
G-Core Labs |
AS199524 |
Yes |
Yes |
No |
06/2022 |
0.0% |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
VTR |
AS22047 |
No |
Yes |
No |
2022 |
0.0% |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
RackNation |
AS52423 |
Yes |
Yes |
Yes |
2022 |
0.0% |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
MAXKO Hosting |
AS211619 |
Yes |
Yes |
Yes |
06/2022 |
0.11% |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
T-Systems |
- |
Yes |
Yes |
? |
- |
n/a |
M247 Europe |
AS9009 |
Yes |
Yes |
Yes |
04/2023 |
0.5% |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
BlueVPS |
AS61102 |
Yes |
Yes |
Yes |
2022/07 |
n/a |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
Yourserver |
- |
Yes |
Yes |
? |
2015/03/06 |
n/a |
Dataclub |
AS203557 |
Yes |
Yes |
Yes |
12/07/2024 |
n/a |
Company/ISP |
ASN |
Bridges |
Relay |
Exit |
Comments |
Last Updated |
Consensus Weight |
Tus Hosting |
- |
Yes |
Yes |
Yes |
- |
n/a |
The Consenus Weight metrics displayed here were last updated on 2024-12-19.