Neno la kinywa ni muhimu ili kufikia watu wapya na kuwasaidia kujilinda mtandaoni. Hivi ndivyo unavyoweza kusaidia:
Faragha na uhuru wa haki za binadamu.
Haki hizi zinanyimwa mtandaoni kite duniani lakini Tor inazirudisha.
Ufuatiliaji na uchunguzi umeenea.
Tunafikiria faragha inapaswa chaguomsingi mtandaoni na hivyo ndivyo programu yetu hukimu.
Faragha sio kuwa na kitu cha kuficha.
Faragha ni kuhusu kulinda jinsi tulivyo kama wanadamu: hofu zetu, uhusiano wetu na udhaifu wetu.
Watu hawapaswi kutumiwa kwa kutumia mtandao.
Wafuatiliaji wanavuna kila hatua yetu, lakini mtandao salama unawezekana.
Programu ya Tor imeundwa na mradi wa Tor, shirika lisilo la faida 501(c)(3).
Tunaunda programu huru na huria ambayo mtu yeyote anaweza kutumia.
Programu ya TOr inatumika na mamilioni ya watu duniani kote.
Waandishi wa habari, wanaharakati na watumiaji wa kila siku wa mtandao wanategemea Tor.