Unaweza kupata baadhi ya miradi hii na kuwa mawazo mazuri katika Google Summer of Code. Tumeweka lebo kwa kila wazo kwa core developers wetu ambao watakuwa washauri wazuri. Ikiwa mawazo haya kwa namna moja au ingine yanaonekana kukupa matarajio, tafadhari wasiliana nasiili kujadiliana mipango yako badala ya kututuma maombi ya vificho.
Kwa miradi ya mwaka huu katika Google Summer of Code unaweza kuangalia Google Summer of Code's wiki page.
Hakuna wazo linalokuvutia? Unaweza pia toa pendekezo la mradi wako-- ambayo mara nyingi huwa na miradi ya mafanikio bora zaidi. Tunakualika uwasiliane nasi kujadili nasi kuhusu wazo lako la mradi.
Hapa kuna baadhi ya mafanikio ya miradi yaliyotekelezwa na washiriki wa hapo awali wa Google Summer of Code na Outreachy