Haya ni mahitaji yetu ya sasa ya kujaribu bidhaa za Tor pamoja na mbinu na hati za majaribio. Kabla ya kuendesha utafiti wa mtumiaji wa Tor hakikisha umesoma Miongozo ya jinsi ya kukuwa mtafiti wa mtumiaji na Tor.
Kivinjari cha Tor ya eneo-kazi
- Utumiaji wa kivinjari cha Tor
- Utafiti wa mtumiaji: Kuleta wafanyakazi wapya kwenye kampuni
- Ugunduzi: pata Kiungo
- Ugunduzi wa mahitaji wa mtumiaji
Tor Browser ya Android
- Utumiaji wa kivinjari cha Tor
- Utafutaji wa mtumiaji: Kuleta ndani ya kampuni
- Ugunduzi wa mahitaji wa mtumiaji