1. Wezesha usasishaji wa kiotomatiki wa programu

One of the most important things to keep your relay secure is to install security updates timely and, ideally, automatically, so you cannot forget about them. Fuata maelekezo ili kuwezesha usasishaji wa programu ya kiotomatiki kwenye mfumo wako wa uendeshaji.

2. Usakinishaji wa kifurushi

Ensure you update the packages database before installing the package, then call zypper to install it:

# zypper refresh
# zypper install tor

3. Faili ya usanidi

Weka faili yako ya usanidi /etc/tor/torrc katika mahali pake

Jina la utani    myNiceRelay  # Badilisha "myNiceRelay" iwe kitu unachokipenda
ContactInfo your@e-mail  # Andika barua pepe yako ukiwa unafahamu kuwa itachapishwa
ORPort      443          # Unaweza kutumia bandari tofauti ikiwa utataka
ExitRelay   0
SocksPort   0

4. Restart the service

Anzisha tena tor daemon ili mabadiliko ya usanidi wako itekelezwe:

# systemctl restart tor

5. Maelezo ya mwisho

Ikiwa unapata shida kusanidi rilei yako tazama sehemu ya msaada wetu. Ikiwa rilei yako inaendeshwa sasa angalia maelezo ya baada ya kusakinisha.