A better world is possible when you invest in tools that prioritize your privacy over profit. Donate to Tor today.
Baada ya kuendesha mafunzo kadhaa ya Tor utaona kuwa watumizi wa kwanza wana maswali sawa kuhusu Tor. Yaliyoainishwa hapa chini ni baadhi ya maswali ya mara kwa mara tunayopata wakati wa vipindi vyetu vya mafunzo. Jitayarishe kwa maswali haya kabla ya kuendesha mafunzo yako. Kwa rasilimali nyingi zaidi, angalia lango la usaidizi.